RAISI KIKWETE AKIONGEA NA WANAHABARI JIJINI ACCRA GHANA JANA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAISI KIKWETE AKIONGEA NA WANAHABARI JIJINI ACCRA GHANA JANA


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili na baadaye akiongea na wanahabari jana agosti 9, 2012 mara baada ya kutua katika Uwanja wa Ndege wa kimnataifa wa Kotoka jijini Accra, Ghana, tayari kuhudhuria mazishi ya Rais wa nchi hiyo Marehemu John Evans Fifi Atta Mills.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages