Shughuli mbalimbali za mazishi za aliyekuwa Rais wa Ghana Profesa
John Evans Atta Mills katika uwanja wa Independence Square jijini Accra
leo Agosti 10, 2o12
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na viongozi wenzie baada ya shughuli
ya mazishi ya Rais John Evans Atta Mills wa Ghana jijini Accra leo
Agosti 10, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo
wakati shughuli ya mazishi ya Rais John Evans Atta Mills wa Ghana katika
ukumbi wa Mikutano wa Ghana jijini Accra leo Agosti 10, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima kwa aliyekuwa Rais wa
Ghana Marehemu Profesa John Evans Atta Mills katika ukumbi wa Mikutano
wa Ghana jijini Accra leo Agosti 10, 2012.PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)