Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa na
mjukuu wao Aziza Ridhiwani (3) katika ghala ya mahindi yaliyovunwa
kwenye shamba lao kijijini Msoga, nje kidogo ya mji mdogo wa Chalinze,
Mkoa wa Pwani. Rais Kikwete ni mkulima na mfugaji kijijini hapo na
ameonesha kufurahishwa sana na mavuno makubwa ya mahindi shambani kwake.
Hii katika kutekeleza kwa vitendo sera ya Serikali ya kuendeleza kwa
ari mpya, kasi mpya na nguvu mpya sekta ya kilimo katika Tanzania.Picha na IKULU
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)