Joseph Mapunda ana sema upendo ni upendo amempenda mama na anaishi kindoa wamependana nyie watu mnataka nini kwetu?
Kwa
mkoa wa Ruvuma hii ni mara ya kwanza mtoto wa kiume Joseph Mapunda
pichani hapo juu kutembea na mama yake mzazi. Wana Ruvuma wanauliza tuaenda
wapi watanzania hadi kupoteza mila desturi na maadili ya
mtanzania pia kukiuka sheria za dini.
Mama Condorada Ngonyani anasema mara baada ya kufariki mume wake Mzee Mapunda alimchagua mtoto wake amrithi baba yake.
Mama Condorada Ngonyani mwenye umri wa miaka 70 ambaye ana ishi kinyumba
na mtoto wake watatu wa kumzaa mwenyewe kama Mke na Mume hapo
anaonekana akisononeka kwa nini jamii iingilie ndoa yake.
Wananchi
wa Mkoa wa Ruvuma wameiomba Serikali kupitia Wizara ya Maendelo ya
Jamii, Jinsia na watoto kuangalia kati sheria inayomruhusu Mtoto na Mama
Mzazi kuweza kuishi kindoa.
Umati wa watu uliofurika kwa Mganga wa Jadi Flora Ndembo Namabengo
wilaya ya Namtumbo Mkoani Ruvuma watu wapatao 400 wameomba Serikali
ichukue Mkondo wa Sheria pia Mtoto wa Pili wa Mama Kondrada Ngonyani
ameomba Serikali ichukue hatua za kisheria dhidi ya condorada ngonyani
na joseph Mapunda.Picha na Habari kutoka Songea Habari
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)