MKUTANO MKUU WA MWAKA WA WANAHISA WA KAMPUNI YA BIA TBL WAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MKUTANO MKUU WA MWAKA WA WANAHISA WA KAMPUNI YA BIA TBL WAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),  ambaye pia ni Waziri Mkuu mstaafu, Cleopa Msuya (kulia) akifafanua jambo wakati wa Mkutano Mkuu wa 39 wa Wanahisa kwenye Hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency, Dar es Salaam jana. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria, Steve Kilindo pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Robin Goetzsche.
Wanahisa wakiperuzi taarifa ya hesabu za kampuni hiyo kwamaka 2012/13
Mwanahisa Arphaxar Masambu akichangia hoja wakati wa mkutano huo.
  Sehemu ya wanahisa wakiwa katika mkutano huo wa mwaka
   Baadhi ya wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni hiyo
Mwanahisa Adrian Makelele akichangia hoja wakati wa mkutano huo
Wanahisa  wakipata kifungua kinywa
Mkurugenzi Mtendaji wa TBL, Robin Goetzsche akijibu maswali ya wanahisa. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi, Cleopa Msuya.
Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) ikiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TBL,  Waziri Mkuu mstaafu, Cleopa Msuya (katikati waliokaa) wakiwa katika picha ya pamoja na wanahisa baada ya Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa kampuni hiyo kumalizika jana jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages