DStv kufanya mabadiliko katika vipindi vyake kuanzia Oktoba mosi - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

DStv kufanya mabadiliko katika vipindi vyake kuanzia Oktoba mosi

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Multchoice Barbara Kambogi akizungumza na waandishi wa habari kwenye hafla ya mabadiliko ya Chanel za DStv yatakayoanza tarehe 1 Oktoba mwaka huu, hafla hiyo imefanyika kwenye hoteli ya Courtyard Upanga jijini Dar es salaam.
Mhasibu Mkuu wa Kampuni ya Ving’amuzi ya DStv Francis Senguji akizungumza katika hafla hiyo na kuelezea mambo mbalimbali yanayohusi mabadiliko hayo.
Waandishi wa habari  kutoka vyombo mbalimbali wakiwa katika hafla hiyo
Kutoka kulia ni KK, Shelmasi Ngahemela na Rehema Ahmed wakiwa katika hafla hiyo.
Kutoka kulia ni Benny Kisaka kutoka Jambo Leo, Gerald Hando kutoka Clouds na Sebbo wakiwa katika hafla hiyo.
William Malecela na wadau wengine wa Multichoice wakiwa katika hafla hiyo.
Kutoka kulia ni Mamaa Shamimu wa Zeze kutoka 8020fashionblog akiwa na mzee wa Mtaa kwa Mtaa Othman Michuzi na mzee wa www.fullshangweblog.com Bw. John Bukuku.
Kutoka kushoto ni Mdau Zaunul kutoka Mo Blog , Andrew Chale kutoka Tanzania Daima na Mwesa kutoka Mhariri mkuu wa Jambo leo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages