Mhariri Wa The Habari Akaribia Kuchukua Jiko - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Mhariri Wa The Habari Akaribia Kuchukua Jiko

Mhariri wa gazeti la mtandaoni TheHabari, Ndg Joachim Mushi akilishwa tunda la apple na mkewe mtarajiwa siku ya send Off iliyofanyika Mkoani Iringa hivi karibuni, Pembeni kwa Bwana Harusi mtarajiwa ni mhariri wa gazeti la Kwanza Jamii Iringa Ndugu Greyson Mgoi ambaye mapema mwezi ujao naye atapata jiko
Kaimu Mkurugenzi wa Daraja Organisation,Mhariri Mtendaji wa Kwanza Jamii, na Mkurugenzi wa taasisi ya Tanzania Journalist Alliance(TAJOA)  , Ndugu Simon Mkina alikuwa mmoja wa mashuhuda

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages