Haghshenas,
H., Aminaei Chatroudi, E., & Njeje, F. (2012). Does Educational
Level Matter in Adopting Online Education? A Malaysian Perspective.
Journal of Marketing for Higher Education, 22(1), 117-151
Fredy Anthony Njeje
---
Kwanza kabisa napenda
kuwasalimu wadau wote mliopo popote Duniani, Kwa mara ya kwanza kabisa
kwa Heshima na taadhima, napenda kuchukua nafasi hii ya pekee kabisa
kuwatambulisha kwenu Publication yangu ya kwanza kabisa ya Journal kwa
wanafunzi wa Elimu ya juu, ambapo nimeshirikiana na wadau wawili kutoka
Iran majina yao mtayaona hapo chini. Hii ni moja ya hatua kwetu kupeana
changamoto. asanteni sana.
Kuona Journal fuata link hii: www.tandfonline.com/ doi/pdf/10.1080/08841241.2012. 705798
Kwa mawasiliano.
Fredy Anthony Njeje
E-mail: fredynjeje@gmail.com
Simu: +255765056399
Website: www.fredynjeje.blogspot.com
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)