Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
(wa tano kutoka kulia) akijumuika na waumini wa dini ya Kiislamu katika
swala ya Magharibi wakati wa hafla ya Futari aliyowaandalia na
kushiriki nao pamoja katika futari hiyo iliyoandaliwa Ikulu ndogo mjini
Dodoma jana.
Makamu wa Rais, Dkt Bilal, akiagana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Emmanuel Nchimbi. |
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, baada ya hafla ya futari
iliyoandaliwa na Makamu Ikulu Ndogo mjini Dodoma jana.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na Waziri Maliasili na Utalii, Hamis Kagasheki, ambaye alikuwa
ni mmoja kati ya waalikwa katika hafla ya futari iliyoandaliwa na
Makamu Ikulu Ndogo mjini Dodoma jana.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana wageni wake na waumini wa dini ya Kiislamu baada ya hafla ya
futari, iliyoandaliwa na Makamu Ikulu Ndogo mjini Dodoma jana.

akiagana na Mhe. Juma Kapuya, ambaye alikuwa ni mmoja kati ya waalikwa
katika hafla ya futari iliyoandaliwa na Makamu Ikulu Ndogo mjini Dodoma
jana.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana wageni wake na waumini wa dini ya Kiislamu baada ya hafla ya
futari, iliyoandaliwa na Makamu Ikulu Ndogo mjini Dodoma jana.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana wageni wake na waumini wa dini ya Kiislamu baada ya hafla ya
futari, iliyoandaliwa na Makamu Ikulu Ndogo mjini Dodoma jana.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)