MACHOZI BAND YATAMBULISHA WAREMBO WATAKAOWANIA KINYANGANYIRO CHA REDDS MISS ILALA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MACHOZI BAND YATAMBULISHA WAREMBO WATAKAOWANIA KINYANGANYIRO CHA REDDS MISS ILALA

Mratibu wa Shindano la Redd's Miss Ilala 2012,Gadner G. Habash akizungumza na waandishi wa Habari (hawapo pichani) kwenye ukumbi wa Nyumbani Lounge mchana huu wakati wa kutambulisha warembo watakaoshiriki kwenye fainali ya Redd's Miss Ilala 2012.washindi watafanikiwa kuingia moja kwa moja kwenye fainali ya Redd's Miss Tanzania 2012.Wengine Pichani toka Kulia ni Mratibu Mwenza wa Shindano hilo,Juma Mabakila,Cylivia Mashuda na Neema Mbula ambao ni walimu wa warembo hao.
Baadhi ya warembo watakaoshiriki Shindano la Redd's Miss Ilala wakiwa kwenye kikao hicho.
Warembo katika picha ya Pamoja.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages