KILA MBUZI ATAKULA KUTOKANA NA UREFU WA KAMBA YAKE - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

KILA MBUZI ATAKULA KUTOKANA NA UREFU WA KAMBA YAKE

Askari wa Usalama Barabara Ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja akiwa amenaswa na kamera ya LUKAZA BLOG akipokea takrima bila wasiwasi huku abiria akishuhudia kutoka kwa dereva wa daladala ambayo inaonekana inafanya kazi zake kutoka Tabata hadi Mnazi Mmoja au Posta Kutokana na Mkanda wa Basi hilo kama ambavyo anaonekana katika picha Hii.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages