Mkuu wa Mkoa wa Kilimanajaro Leonidas Gama, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu kukamilika kwa maandalizi ya Sensa
ya watu na makazi ambapo pia amebainisha kuwepo kwa changamoto kubwa ya
vikundi vya watu wa chache vinavyodaiwa kuwa ni vya dini
ya Kiislamu,ambavyo vimeendelea na zoezi la kuwashawishiwi
watu wasihesabiwe kwenye Wilayani mbalimbali Mkoani hapa.Picha na
Rodrick Mushi
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)