KIJANA MWENYE VIPAJI LUKUKI AFANIKIWA KUONYESHA VIPAJI VYAKE - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

KIJANA MWENYE VIPAJI LUKUKI AFANIKIWA KUONYESHA VIPAJI VYAKE

 Kijana Jocktan Maluli akichora moja ya picha safi kabisa ya mnyama Tembo. Kijana Huyu mwenye vipaji Lukuki Kabisa Kutoka Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM). Kijana Huyu anaweza kuchora,kuigiza na pia kudesign hapa chini ni baadhi tu ya kazi zake
 Hii ni moja ya picha aliyochora Kijana Jocktan Maluli inavyoonekana Mara baada ya kumalizika
Huyu Kijana Kwakweli ana vipaji vingi sana achilia mbali kuchora,pia ana fanya designing ya kazi mbalimbali kama hii hapa juu na ni mmoja kati ya waongozaji wazuri sana katika filamu na ni mmoja kati ya wapiga picha au kameraman mzuri sana.

Siku za Karibu Tutafanya mahojiano naye ili muweze KUmfahamu Vizuri.

Kama umeipenda basi Share na Washikaji na mfuate hapa chini kwa kuona kazi zake nyingi tu https://www.facebook.com/jocktan.maluli

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages