Katibu Mkuu Kiongozi Balozi ombeni Sefue afuturu na Viongozi waandimizi serikalini pamoja na marais Wastaafu - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi ombeni Sefue afuturu na Viongozi waandimizi serikalini pamoja na marais Wastaafu

Rais Mstaafu awamu ya Pili Ali Hassan Mwinyi akisisitiza jambo wakati alipokuwa katika mazungumzo na viongozi mbali mbali akiwemo Rais Mstaafu awamu ya Tatu Mhe. Benjamim William Mkapa (kushoto), Jaji Mkuu Othman Chande (wapili kushoto), Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Sadik Meck Sadik (watatu kushoto) pamoja na Katibu Mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue jana jioni wakati wa futari iliyoandaliwa nyumbani kwa Balozi Sefue jijini Dar es Salaam kwa ajili ya viongozi mbalimbali serikalini. Picha na Freddy Maro

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages