IFIKAPO MIDA YA JIONI ILALA BOMA HUFANANA HIVI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

IFIKAPO MIDA YA JIONI ILALA BOMA HUFANANA HIVI

Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar wakiwa katika kituo cha Daladala Cha Ilala boma wakisubiria usafiri unaotoka maeneo ya Posta,Kivukoni na Mnazi Mmoja kwaajili ya kurejea majumbani kwao wakiwa wanasubiri daladala hizo kwa muda mrefu sana kutokana na Daladala Zote zinapofika hapo huwa zimejaza na kupelekea daladala nyingine kutosimama na zinazosimama basi abiria hubanana kweli.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages