Gwaride la FFU.
FFU wakishambulia ,Tubingen 2012.
Chris-B,Soloist.
Bassist wa FFU na mtutu wake.
FFU wakiwa kazini Tubingen.
FFU wa Ngoma Africa wakitembeza mitutu, Tubingen 2012.
Jukwaa la FFU limevamiwa na washabiki.
Kamanda Ras makunja na Award akipongezwa na mdau.
Ras Makunja na award,akipongezwa na wadau.
--
FFU wa Ngoma Africa band walipofanya kweli katika maonyesho ya International African Festival, mjini Tubingen,Ujerumani
siku ya jumamosi 11.08.2012, Pia maonyesho hayo yaliambatana na sherehe
za tuzo la "IDA- International Diaspora Award" mshindi wa Tuzo hiyo ni
Ngoma Africa band, ambayo imechaguliwa kuwa ndio bendi bora ya kiafrika
iliyofanya kazi nzuri ya kuutangaza mziki wa kiafrika kwa kasi na
kujizolea mamilioni ya
washabikikatika kila kona diniani.
Tuzo hiyo ya "IDA-International Diaspora
Award" ambayo imekabidhia kwa kiongozi wa bendi hiyo Kamanda Ras
Makunja wa FFU,Wasikilize at www.ngoma-africa.com pia ungana nao atwww.twitter.com/ngomaafrica
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)