Dr. Janeth
Mandepo akiwa amesimama kwa furaha ndani ya Ukumbi wa mwika katika sherehe yake
ya Sendoff usiku wa kuamkia leo.
Dr. Janeth
(kulia) akiwa na mpambe wake
Baba na
Mama Mandepo wakiwa na nyuso za furaha katika sherehe ya kumuaga binti yao Dr.
Janeth iliyofanyika katika ukumbi wa Mwika - Sinza.
Wakwe
watarajiwa wa Dr Janeth wakifuatilia kwa umakini sherehe ya kupongezwa kwa mkwe
wao.
Dr. Janeth
akipiga picha ya kumbukumbu na Madaktari na wafanyakazi wenzake kutoka Hospitali
ya Mwananyamala.
Dr. Janeth
akipiga picha ya kumbu kumbu na wanakamati waliomfanyia sherehe yake ya kumuaga
(Sendoff) wakiongozwa na kaka yake Mh. Mtarajiwa George Mandepo wa pili
kulia.
Makaka wa
Dr Janeth wakiwa na nyuso za furaha huku wakiwa na Mzee Maarufu wa nyimbo za
zamani aliyewahi kuibuliwa na channel ya ITV miaka kadhaa iliyopita katika
kipindi cha HAWAVUMI LAKINI WAMO (Mzee Chengula) aliyevaa Suti ya Bluu na
Kofia.
Dr Janeth
akitoka ukumbini kwa furaha baada ya sherehe yake
kuisha.
Dr. Janeth Mandepo aliagwa usiku wa jana wa tarehe 22/08/2012 katika Ukumbi wa Mwika Sinza.
Dr. Janeth Mandepo aliagwa usiku wa jana wa tarehe 22/08/2012 katika Ukumbi wa Mwika Sinza.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)