|
Kiongozi
wa jumuiya ya madaktari nchini Tanzania, Dk. Steven Ulimboka, amerejea
leo nyumbani akitoka Afrika Kusini katika matibabu. Dk Ulimboka
amepokelewa leo na madaktari wenzake, ndugu jamaa na marafiki,
alipowasili Jumapili Agosti 12, 2012, kwenye uwanja wa ndege wa
kiamataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam akitokea kwenye
matibabu Afrika Kusini. Alisema yuko fiti na anaweza kufanya shughuli
zozote atakazopewa kuanzia sasa.akiwasili jana Agosti 12, 2012 akitokea kwenye matibabu Afrika Kusini |
DR.ULIMBOKA, KABLA YA KUJERUHIWA, ALIPOJERUHIWA NA BAADA YA KUPONA
|
Dk.
Steven Ulimboka, alipolazwa hospitalini jijini Dar es Salaam, picha ya
katikati, anavyoonekana jana baada ya kutibiwa Afrika Kuisni na kulia
ni jinsi alivyokuwa kabla ya kujeruhiwa na watekaji. |
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)