Mhariri
Mkuu wa Thehabari.com, Joachim Mushi (kushoto) akigonganisha glasi na
mkewe Hilder Mwaipopo juzi (Agost 25) kwenye mnuso wao baada ya
kumeremeta katika Kanisa Katoliki Parokia ya Tabata.
Hapa ilikuwa ni wakati wa Mr & Mrs Joachim Mushi kufungua muziki.
Bi.
Hilder Mwaipopo (kulia) akijiandaa kumnywesha mvinyo mumewe Joachim
Mushi kwenye mnuso wa kumeremeta kwa jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)