Balozi wa Indonesia akutana naRais Dk.Shein - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Balozi wa Indonesia akutana naRais Dk.Shein

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Indonesia nchini Tanzania Yudhistiranto Sungati,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana kwa ajili ya kumuaga Rais,baada ya kumaliza kuda wake wa kazi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Indonesia nchini Tanzania Yudhistiranto Sungati,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana kwa ajili ya kumuaga Rais,baada ya kumaliza kuda wake wa kazi. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akibadilishana mawazo na  Balozi wa Jamhuri ya Indonesia nchini Tanzania Yudhistiranto Sungati,aliyefika kumuaga Rais,baada ya kumaliza kuda wake wa kazi. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages