Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sam Elangalloor (wa
pilikushoto) akichukua chakula pamoja na baadhi ya wateja wao wa
makampuni katika hafla ya futari waliyowaandalia katika Hoteli ya
Serena, Dar es Salaam jana.
Ofisa Uhusiano wa Airtel Tanzania, Dangio Kaniki (kulia) akimwekea
chakula mmoja wa wa teja wao katika hafla ya futari iliyoandaliwa na
Airtel kwa wateja wao wa makampuni katika Hoteli ya
Serena, Dar es Salaam jana.
Serena, Dar es Salaam jana.
Baadhi
ya wateja wa Airtel wakipakua mlo wa futari katika hafla hiyo
iliyoandaliwa na Airtel katika Hoteli ya Serena, Dar es Salaam jana.
Ofisa
Mauzo wa Wateja Wakubwa wa Airtel Tanzania, Mariam Ikoa (kushoto)
akimkabidhi zawadi Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es
salaam, Suleiman Kova katika hafla ya futari iliyoandaliwa na Airtel
kwa wateja wao wa makampuni katika Hoteli ya Serena, Dar es Salaam jana.
Katikati ni Mkurugenzi wa Matawi na Utawala wa Shirika la Nyumba (NHC)
Raymond Mndolwa na kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel, Sam
Elangallor.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)