WATANZANIA TUNAPOPENDA KUFANYA MAMBO YETU SIKU ZA MWISHO NA HIVI NDIVYO HALI INAVYOKUWA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WATANZANIA TUNAPOPENDA KUFANYA MAMBO YETU SIKU ZA MWISHO NA HIVI NDIVYO HALI INAVYOKUWA

Wakazi wa Tabata Segerea Chama wakiwa wamejitokeza Kwa Wingi kama walivyonaswa na mpiga picha wa lukaza blog katika zoezi la kujiandikisha kwaajili ya kupata vitambulisho vya taifa huku zoezi hilo likiwa linakaribia mwishoni katika mkoa wa Dar Es Salaam lakini na bado wakazi wengi wa Jiji la Dar hawajajiandikisha

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages