Mgeni
rasmi katika uzinduzi huo,waziri wa mawasiliano na uchukuzi Dr.
Harrison Mwakyembe akimkabidhi Mkurugenzi mtendaji wa masoko wa shirika
hilo Bw. Marwan Koleilat kwa niaba ya shirika hilo la ndege la
Qatar zawadi ya picha yenye kivuli cha Mlima Kilimanjaro .
Mkurugenzi
mtendaji wa masoko wa shirika la Qatar Bw. Marwan Koleilat kwa niaba
ya shirika hilo akimpa Mgeni rasmi katika uzinduzi huo,waziri wa
mawasiliano na uchukuzi Dr. Harrison zawadi ya yenye nembo ya ndege ya
shirika hilo la Qatar.
Mgeni
rasmi katika uzinduzi huo,waziri wa mawasiliano na uchukuzi Dr.
Harrison akizungumza mbele ya wageni waalikwa wakiwemo na wahariri wa
habari kutoka vyombo mbalimbali (hawapo pichani),mapema leo kwenye
uwanja wa ndege wa Kimataifa KIA.
Mkurugenzi
mtendaji wa masoko wa shirika la Qatar Bw. Marwan Koleilat kwa niaba
ya shirika hilo akizungumza mbele ya wageni waalikwa wakiwemo na
wahariri wa habari kutoka vyombo mbalimbali (hawapo pichani),mapema leo
kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa KIA.
Kutoka
kulia ni Mkurugenzi mtendaji wa masoko wa shirika la Qatar Bw. Marwan
Koleilat,Waziri wa Uchukuzi Dr.Harrison Mwakyembe,Mwenyekiti wa Bodi ya
Wakurugenzi ya KADCO, Balozi Hassan Omar Gumbo Kibelloh pamoja na
Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki wakijadiliana
jambo.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Wakurugenzi ya KADCO, Balozi Hassan Omar Gumbo Kibelloh
lakizungumza machache na pia kumkaribisha mgeni rasmi na wageni waalikwa
mbalimbali waliofika kwenye hafla hiyo mapema leo iliofanyika kwenye
uwanja wa KIA.
Wakuu wa uzinduzi wakipga makofi kwa pamoja mara baada ya uzinduzi huo.
Mgeni
rasmi katika uzinduzi huo,waziri wa mawasiliano na uchukuzi Dr.
Harrison akipiga makofi wakati kikundi cha ngoma za asili
kikitumbuiza,shoto kwake ni Mkurugenzi mtendaji wa masoko wa shirika la
Qatar Bw. Marwan Koleilat
Mwenyekiti
wa Bodi ya Wakurugenzi ya KADCO, Balozi Hassan Omar Gumbo Kibelloh
akimkaribisha Mkurugenzi mtendaji wa masoko wa shirika la Qatar Bw.
Marwan Koleilat mara baada ya kuwasili na ndege ya shirika hilo aina
ya Ndege namba QR546,shoto kwake ni Waziri wa Maliasili na Utalii
Balozi Khamis Kagasheki
Picha ya pamoja mara baada ya Shirika la ndege la serikali ya Qatar (Qatar airways) leo kuzindua huduma ya safari zake za anga kutoka Kilimanjaro kuelekea sehemu mbalimbali za dunia kila siku na kufanya huduma za safari za anga kufikia zaidi miji 118.

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)