Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na
Teknolojia, Profesa Makame Mnyaa Mbalawa, akizungumza na Mkurugenzi wa
Kitengo cha Mawasiliano cha Kampuni ya Simu za mkononi Airtel Tanzania,
Beatrice Singano nje ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma, muda mfupi
baada ya kupitishwa kwa Bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka 2012/13
Naibu Waziri, Mawasiliano, Sayansi na
Teknolojia, January Makamba akipongezwa na Mkurugenzi wa Kitengo cha
Mawasiliano cha Kampuni ya Simu za mkononi Airtel Tanzania, Beatrice
Singano nje ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma muda mfupi baada ya
kupitishwa kwa Bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka 2012/13
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)