Waziri wa Uchukuzi Dk
Harrison Mwakyembe akitambulishwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TRL Mhandisi
Kipallo Aman Kisamfu kwa viongozi wa TRL na wale wa Chama cha Wafanyakazi wa
Reli TRAWU mara alipowasili katika Karakana ya TRL.
Waziri Mwakyembe
akipata maelezo ya jinsi ya ukarabati wa mabehewa 14 unavyoendelea kutoka kwa
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TRL Mhandisi Kipallo Aman Kisamfu wa kwanza kulia.
Viberenge viwili malum
vikijitayarisha kuondoka kuelekea Ubungo wakati wa ukaguzi wa njia ya reli
ambayo itatumiwa na treni ya abiria ya Wakazi wa jiji la Dar es Salaam
inayotarajiwa kutoa huduma hapo Oktoba mwaka huu.
Baadhi ya mabehewa
yanayokarabatiwa kwa ajili ya huduma ya usafiri kwa Wakazi wa jiji la Dar.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)