Wakili Felista
Msoka
Wakili Felista Msoka akiwa na
Mawakili wenzake siku ambayo aliapishwa kuwa Wakili wa kujitegemea.
Wakili Felista Msoka wa
katikati na kushoto ni kaka yake Gilbert Msoka na kulia ni rafiki na ndugu wa
karibu wa familia ya Msoka ambaye alisoma na kaka yake.
Wakili Felista Msoka akiwa na
pacha wake wa kuzaliwa ambaye pia ni Wakili Bi. Yusta Msoka, kwa pamoja wakiwa
na furaha kwa kuwa Mawakili.
Wakili Felista Msoka
aliapishwa tarehe 6/07/2012 na Jaji Mkuu Othman Chande pamoja na mawakili
wengine 286 akiwemo na Waziri wa sheria na Katiba Mh. Mathias Chikawe na kufanya
idadi ya mawakili nchini kufikia 2602.
Mtandao huu unapenda
kumpongeza kwa mafanikio hayo.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)