THERESIA KIMARIO ANYAKUA TAJI LA REDD'S MISS TANGA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

THERESIA KIMARIO ANYAKUA TAJI LA REDD'S MISS TANGA

IMG_4288
Redd's Miss Tanga 2012,Theresia Kimaro (katikati) akiwa katika picha ya Pamoja na mshindi wa pili,Beatroce Joseph na wa tatu Johari Harom muda mfupi baada ya kumalizika kwa shindano lao liliilofanyika usiku huu kwenye Uwanja wa Mkwakwani,Jijini Tanga jana.
IMG_4246
Washiriki walioingia tano Bora.
IMG_4170
Washiriki wote stejini.
IMG_4062
Shoo ya warembo walioshiriki Miss Tanga 2012.
IMG_4036
Washereheshaji wa Shindano hilo .
IMG_4200
AT na madansa zake wakitoa shoo.
IMG_4222
Malkia wa Mipasho,Khadija Kopa nae akipagawisha.
IMG_4040
Majaji.Picha Na Jane John Blog

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages