FOUNDATION FOR CIVIL SOCIETY'WAANDAA KONGAMANO LA KUWEZESHANA NA KUONGEZA UELEWA KUHUSU MCHAKATO WA KATIBA MPYA KWA WATU WENYE ULEMAVU - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

FOUNDATION FOR CIVIL SOCIETY'WAANDAA KONGAMANO LA KUWEZESHANA NA KUONGEZA UELEWA KUHUSU MCHAKATO WA KATIBA MPYA KWA WATU WENYE ULEMAVU

 Bwana Gideon Mandesi kutoka taasisi ya Dolasedi akizungumza na waandishi wa habari juu ya mpango wa kuwakilisha mapendekezo ya pamoja ya watu wenye ulemavu kwa kamati ya kukusanya maoni ya katiba.
 Wakalimani 'Watu wanaotafsiri lugha ya Viziwi' wakiwawezesha kwa kuwaelezea washiriki wenye ulemavu wa kusikia majadiliano yalikuwa yanaendelea kwenye kongamano hilo.
 Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba nchini, Bwana Deus Kibamba, akiwajengea uwezo jamii ya wenye ulemavu nchini namna watakavyoshiriki kikamilifu katika mchakato wa katiba unaoendelea nchini.
Watu wenye ulemavu wakiwa katika kongamano la kuwajengea uwezo namna watakavyoshiriki katika mchakato wa kukusanya maoni ya katiba.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages