Pichani Juu na Chini ni Wanafamilia wa Jay Dee wakipakia mizigo
tayari kuelekea kituo cha kulelea watoto yatima cha Maunga Centre kwa
ajili ya kukabidhi msaada.
Baadhi ya wanafamilia katika pozi kabla ya kuanza safari ya kuelekea kituo cha watoto yatima cha Maunga Centre.
Kiongozi wa msafara LadyJay Dee akielekea kupanda usafiri maalum ulioandaliwa.
Wanafamilia ndani ya basi kuelekea Maunga Cente kituo cha watoto yatima kwa shughuli nzima ya kukabidhi msaada.
Judith G. Habash a.k.a Komando Binti Machozi Lady Jay Dee
akiwasili na Familia yake katika Kituo cha kulelea watoto yatima cha
Maunga Centre kilichopo maeneo ya Kinondoni Hananasifu.
Wanafamilia wa Jay Dee wakishuka kwenye basi baada ya kuwasili.
Vijana wa Familia ya Jay Dee wakishusha msosi ulioandaliwa
Nyumbani Lounge kwa ajili ya watoto yatima wa Kituo cha Maunga Centre.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)