Wakazi
wa Mji wa Tanga toka maeneo mbali mbali wakifatilia moja ya Filamu za
Bongo Movie inayofahamika kwa jina la Taxi Driver iliyokuwa ikionyeshwa
katika Tamasha la wazi la Filamu kwenye Viwanja vya
Tangamano,Tanga.Tamasha hili linadhaminikwa na Kampuni ya Bia Tanzania
kupitia kinywaji chake kisicho na Kilevi cha Grand Malt.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)