Sehemu ya kwanza kati ya mbili za mahojiano na Mbunge wa Kigamboni (CCM) Dr Faustine Ndugulile ambaye ameeleza mengi kuhusu kongamano
kuu la UKIMWI alilohudhuria hapa Washington DC, hali ya mapambano ya
UKIMWI nchini Tanzania na pia harakati zake BUNGENI.
Kagusia mgogoro wa MJI MPYA wa KIGAMBONI na mengineyo.
Karibuni
Kagusia mgogoro wa MJI MPYA wa KIGAMBONI na mengineyo.
Karibuni
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)