Balozi wa baba Mtakatifu hapa nchini Askofu Mkuu Fransisko Montecillo
Padilla akitoa sakramenti ya kipaimara kwa Aivan Catrece wakati wa
ibada iliyofanyika katika kanisa la mtakatifu Petro Osyterbay jijini Dar
es Salaam, Jumla ya watoto 72 walipata ekaristi takatifu ya
kipaimara.Wapili kulia ni Paroko wa kanisa hilo Padri Joseph Mosha.
Mmoja wa watoto waliopata sakramenti ya kipaimara katika kanisa la
Mtakatifu Petroa Aivan Catrece akionyesha kipaji chake cha kupiga ngoma
wakati wa Ibada hiyo.
Balozi wa baba Mtakatifu hapa nchini Askofu Mkuu Fransisko Montecillo
Padilla akitoa mahubiri wakati wa ibada ya sakramenti ya kipaimara
iliyofanyika katika kanisa la mtakatifu Petro Osyterbay jijini Dar es
Salaam, Jumla ya watoto 72 walipata ekaristi takatifu ya
kipaimara.Kushoto ni Paroko wa kanisa hilo Padri Joseph Mosha.
Baadhi ya watoto kati ya 72 waliopata sakramenti ya kipaimara
wakionyesha vyeti vyao baada ya kukabidhiwa na Balozi wa baba Mtakatifu
hapa nchini Askofu Mkuu Fransisko Padilla, wakati wa ibada hiyo
iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Osytarabay jijini Dar es
Salaam.
Balozi wa baba Mtakatifu hapa nchini Askofu Mkuu Fransisko Montecillo
Padilla akitoa baraka kwa waumini wa kanisa la Mtakatifu petro Oysterbay
wakati wa Ibada ya Kipaimara,Askofu huyo ilikuwa mara yake ya kwanza
kuongoza ibada katika kanisa hilo ambapo alisalimiana na waumini wote
kwa kuwapa mikono na baraka. PICHA ZOTE NA ALBART JACKSON WA LUKAZA BLOG
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)