Upande wa kushoto ni moja ya sare zilizokuwa zikivaliwa na askari wa jeshi la polisi nchini miaka hiyo ya nyuma na upande wa kulia ni sare za ndugu zetu wale wa kutoa kipigo,mabomu na maji ya kuwasha ambazo zinavaliwa siku hizi.hapa ni ukaribisho wao ukiwa unaingia kwenye banda lao lililopo kwenye viwanja vya sabasaba.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)