BONGO MOVIES YAICHAKAZA BONGO FLEVA KATIKA TAMASHA LA MATUMAINI UWANJA WA TAIFA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

BONGO MOVIES YAICHAKAZA BONGO FLEVA KATIKA TAMASHA LA MATUMAINI UWANJA WA TAIFA

Glorious Celebration wakiingia jukwaani.
...wakiwa jukwaani.
...Burudani zikiendelea. Kundi la Glorious Celebration likifanya makamuzi katika Tamasha la Matumaini ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam muda huu.
Wachezaji wa Bongo Movie na mashabiki wake wakishangilia bao lao lililofungwa na Kiduko.

Timu zikiingia uwanjani.
Benchi la Bongo Movie.
Mchezaji wa Bongo Fleva akiwa chini wakati mechi ikiendelea. (PICHA NA ERICK EVARIST/GPL)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages