Rais Kikwete awasili Addis Ababa Ethiopia kuhudhuria Mkutano wa viongozi wa Umoja wa Afrika - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Rais Kikwete awasili Addis Ababa Ethiopia kuhudhuria Mkutano wa viongozi wa Umoja wa Afrika

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea maua muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Bole jijini Addis Ababa Ethiopia kuhudhuria mkutano wa 19 wa wakuu wa nchi wa Umoja wa Afrika AU leo jioni.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili jijini Addis Ababa Ethiopia kuhudhuria mkutano wa 19 wa  wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika leo jioni.Kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe na kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia Mhe.Joram Biswaro(picha na Freddy Maro

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages