RAIS KIKWETE AREJEA NCHINI KUTOKA NCHI ZA RWANDA NA BURUNDI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

RAIS KIKWETE AREJEA NCHINI KUTOKA NCHI ZA RWANDA NA BURUNDI

0L7C0179
 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akilakiwa na Inspekta Jenerali wa Polisi Afande Saidi Mwema, na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davies Mwamunyange, baada ya kuwasili Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jana jioni wakitokea Burundi na Rwanda walikokwenda kuhudhuria sherehe za miaka 50 wa uhuru wa nchi hizo.
0L7C0173
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete, wakiwasili Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jana jioni wakitokea Burundi na Rwanda walikohudhuria sherehe za miaka 50 wa uhuru wa nchi hizo. Anayeongozana nao ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Saidi Mecky Sadik. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages