RAIS KIKWETE AKIWA NA RAIS WA ZANZIBAR, ASWALI SALA YA IJUMAA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAIS KIKWETE AKIWA NA RAIS WA ZANZIBAR, ASWALI SALA YA IJUMAA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Rais wa Zanzibar Dr Ali Mohamed Sheik na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilal wakiongea katika Ikulu ya Zanzibar leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilal wakijumuika na wananchi wa Zanzibar katika swala ya Ijumaa katika msikiti wa Mwembe Shauri, Unguja.PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages