Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Naibu Mshauri wa Masuala
ya Usalama katika nyanja ya Kimataifa wa Marekani, Bw. Michael Froman
kabla ya Mazungumzo yao Jijini Dar es salaam Julai 13,20132. Kulia ni
Balozi wa Marekani Nchini, Bw. Alfoonso E. Lenhardt.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Naibu Mshauri wa Masuala
ya Usalama katika nyanja ya Kimataifa wa Marekani, Bw. Michael Froman
kabla ya Mazungumzo yao Jijini Dar es salaam Julai 13,20132.Kulia ni
Balozi wa Marekani Nchini, Bw. Alfonso E. Lenhardt.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)