MKURUGENZI MTENDAJI WA FULLSHANGWE APIGA TAFU MATIBABU YA SAJUKI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MKURUGENZI MTENDAJI WA FULLSHANGWE APIGA TAFU MATIBABU YA SAJUKI

 
Mkurugenzi  mtendaji wa Fullshangwe Blog, Bw. John Bukuku akimkabidhi mke wa Sajuki, Wastara Juma kiasi cha Sh. laki moja 100,000, kama sehemu ya mchango wake kwa ajili ya matibabu ya Mumewe.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages