Miss Utalii Kagera wajiandaa na mpambano leo usiku - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Miss Utalii Kagera wajiandaa na mpambano leo usiku

  Muandaaji wa chakula hiki akiongea na wanahabari na mkurugenzi wa Fiosmini hotel iliopo mjini Bukoba. Kamati nzima ya miss Utali Kagera 2012 kukaribishwa chakula cha ASILI siku moja kabla ya mpambano.
Shindano hili litafanyika hii leo Jumamosi 14-7-2012 katika ukumbi wa linaz night Club. na kusindikizwa na Diamond music Band.
 Warembo baada ya chakula wakifanya mazoezi ya kucheza muziki wa I"LEKA TUDIGIDE ulio imbwa na wasanii wa Kigoma all star
 wadau wakipata chakula cha asili
 Msosi tyme
Poziiiii.
 wadau wakipata chakula cha asili,yupo pia  Ndg Marrison Kapiga wa Clouds Fm na yupo msanii wa nyimbo za injili Jane MISSO na mkurugenzi wa Cosad Ndg Smart Baitani


 mapozi
 BK Oye!
 Walimbwende wakiwa katika picha ya Pamoja
 Mwenye taji ni Miss Utalii Tanzania 210-2011 Miss Eva Mery Gamba
 Warembo baada ya chakula wakifanya mazoezi ya kucheza muziki wa I"LEKA TUDIGIDE.Picha Kwa Hisani ya Michuzi

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages