Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akizindua mradi wa maji katika Hospitali ya Mawenzi pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti anaemaliza
Muda wake wa, Richard Wells. Hadi kukamilika kwa mradi huo wa maji
safi, Kampuni ya bia ya Serengeti Breweries Limited imetumia zaidi ya
milioni 55 za kitanzania kujenga tanki kubwa la kuhifadhi maji kwa ajili
ya matumizi ya hospitali ya Mawenzi mkoani Kilimanjaro.
Mkurugenzi
wa Mahusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya bia ya Serengeti Bi. Teddy
Mapunda, akifafanua juu ya gharama halisi za mradi huo.
“Sisi
kampuni ya bia ya Serengeti tunatambua sana changamoto zinazowakabili
watanzania, taasisi na mashirika mbalimbali hususani hospitali juu ya
upatikanaji wa maji safi na salama, na kwasababu hiyo kampuni ya bia ya
Serengeti imeona hilo na kuamua kusadia kutatua tatizo hilo katika
maeneo mbalimbali ikianza katika maeneo yanayohitaji huduma ya maji kwa
haraka zaidi” alisema Mapunda na kuongeza kuwa kujitolea kusaidia jamii
ni moja yab sera za kampuni hiyo kama njia mojawapo ya kurudisha
shukrani zake kwa wateja wake na watanzania kwa ujumla.
Mgeni rasmi akifungua maji yanayotoka katika bomba lililounganishwa katika matanki hayo.
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akisalimiana na Meneja Miradi Endelevu na Uwajibikaji wa SBL, Nandi Mwiyombela
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Dkt. Mtumwa Mwako
Mkurugenzi
wa Mahusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya bia ya Serengeti Bi. Teddy
Mapunda, akifafanua juu ya gharama halisi za mradi huo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti, anaemaliza muda wake Richard Wells akizungumza wakati wa uzinduzi huo.
Baadhi ya wauguzi wa Hopitali ya Mkoa wa Kilimanjaro, Mawenzi wakifuatilia kwa umakini uzinduzi huoi.
Wadu mbalimbali nao walikuwa makini kufuatilia Matukio hayo kwa umakini.
Mkurugenzi wa Masoko wa SBL, Epraimu Mafuru akizungumza.
Mke
wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akisoma hotuba yake wakati wa uzinduzi
huo wa mradi wa Maji Hospitali ya Mawenzi. Kushoto ni Mkurugenzi
anaemaliza Muda wake wa Kampuni ya Bia ya Serengeti, Richard Wells baada
ya kuzindua rasmi mradi huo wa maji katika Hospitali ya Mawenzi, mkoani
Kilimanjaro leo.
Mkurugenzi
Mtendaji wa SBL, anaemaliza muda wake, Richard Wells (kulia) akiwa na
Mkurugenzi Mtendaji Mpya wa SBL, Steve Gannon, wakifuatilia hotuma ya
mke wa Waziri Mkuu.
Mama Tunu Pinda akipanda mti katika hospitali ya Mawenzi mara baada ya kuzindua mradi wa maji hospitalini hapo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya SBL, Steve Gannon akimwagilia maji mti alioupanda Hospitali ya Mawenzi leo.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)