Naibu
waziri ofisi ya makamu wa Raisi Mh charles Kitwanga akikata utepe
kuashiria uzinduzi wa mawasiliano uliojengwa na Airtel nje kidogo ya
mkoa wa Mwanza katika wilaya ya Misungwi ili kurahisisha upatikanaji wa
huduma zake zote kama intaneti, Airtel Money na kupiga simu vijiji vya
Nyamainza, Buhunda, Ishoke na Seke, wakwanza kulia ni Meneja uhusiano
wa Airtel Jackson Mmbando. hafla ya uzinduzi wa mnara huu wa ilifanyika
katika kijiji cha Nyamayinza wilayani Misungwi mwishoni mwa wiki.
Pichani
kati ni Naibu waziri ofisi ya makamu wa Raisi Mh charles
Kitwanga akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa kijiji
cha Nyamayinza (kulia) na wakati kushoto ni wafanyakazi wa Airtel
Tanzania kwenye picha ya pamoja mara baada ya kukata utepe kuashira
uzinduzi mnara wa mawasiliano wa Airtel nje kidogo ya mkoa wa Mwanza
katika wilaya ya Misungwi kurahisisha upatikanaji wa huduma zake zote
kama intaneti, Airtel Money na kupiga simu vijiji vya Nyamayinza,
Buhunda, Ishoke na Seke, . hafla ya uzinduzi wa mnara huu wa ilifanyika
katika
Kati
alievalia shati la bluu ni Naibu waziri ofisi ya makamu wa Raisi Mh
charles Kitwanga meneja mauzo kanda ya ziwa Galus Mgawe na
meneja uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando wakishangilia na wananchi mara
baada ya kukata utepe kuashira uzinduzi wa mawasiliano wa Airtel
nje kidogo ya mkoa wa Mwanza katika wilaya ya Misungwi kurahisisha upatikanaji wa huduma zake zote kama intaneti, Airtel Money na kupiga simu vijiji vya Nyamainza, Buhunda, Ishoke na Seke, . hafla ya uzinduzi wa mnara huu wa ilifanyika katika kijiji cha Nyamayinza wilayani Misungwi mwishoni mwa wiki.
Meneja
wa Airtel Kanda ya Ziwa Bw Galus Mgawe akiongea na wananchi mbele ya
Naibu Waziri ofisi ya makamu wa Raisi Charles Kitwanga wakati wa
uzinduzi wa mnara wa mawasiliano wa Airtel wilaya ya Misungwi kijiji cha
Nyamayinza, mmnara huo wa Airtel kurahisisha upatikanaji wa huduma
zake zote kama intaneti, Airtel Money na kupiga simu vijiji
vya Nyamainza, Buhunda, Ishoke na Seke.
Mbele
ni Naibu waziri Ofisi ya Makamu wa raisi Mh Charles Kitwanga na Meneja
Mauzo wa Airtel wakiwa wamejiunga wananchi wakiserebuka ngoma ya asili
kufurahia uzinduzi wa mnara wa mawasiliano wa Airtel
wilayani Misungwi. mmnara huo wa Airtel kurahisisha upatikanaji wa
huduma zake zote kama intaneti, Airtel Money na kupiga simu vijiji vya
Nyamainza, Buhunda, Ishoke na Seke.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)