Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimpokea makamu wa Rais wa Afrika ya Kusini, Kgalema Motlanthe,
aliyewasili nchini leo kwa ajili ya ziara ya siku mbili, ambapo atakuwa
na mazungumzo na Makamu wa Rais Dkt. Bilal na kesho atatembelea Mazimbu
mkoani Mororgoro.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiongozana na kuzunguma jambo na makamu wa Rais wa Afrika ya Kusini,
Kgalema Motlanthe, aliyewasili nchini leo kwa ajili ya ziara ya siku
mbili, ambapo atakuwa na mazungumzo na Makamu wa Rais Dkt. Bilal na
kesho atatembelea Mazimbu mkoani Mororgoro.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na makamu wa Rais wa Afrika ya Kusini, Kgalema Motlanthe,
baada ya kuwasili nchini leo.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)