Hapa ndipo kipindi cha Chereko Chereko kinapotayarishwa katika Studio ya kisasa ya 2BONDO's PRODUCTIONS.
Mtangazaji wa kipindi cha Chereko Chereko, Angella Gloria Bondo akiwa
amepozi kwa picha na mgeni wake, Shabani Mbegu ambaye alifika katika
Studio hizo kwa ajili ya kuandaa kipindi cha Chereko Chereko
kitakachorushwa hewani siku ya jumapili tarahe 22-7-2012 kuanzia saa
moja kamili jioni mpaka 7: 45 katika kituo cha Televisheni cha TBC.
Kipindi hiki kitaanza kuonekana tena baada ya kusimama kwa kipindi cha
mwaka mmoja na sasa kimerudi tena katika muonekano mpya baada ya
kuboreshwa.
Mtangazaji wa kipindi cha Chereko Chereko, Angella
Gloria Bondo akiwa katika mahojiano na mgeni wake Bwana Harusi, Shabani
Mbegu katika Studio za 2BONDO's PRODUCTIONS.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)