Hakika
usipo staajabu ya Musa basi yatakustaajabisha ya Firauni!!....katika
hali isiyokuwa ya kawaida mwajiri mmoja aliyefayiwa kitendo cha uhalkifu
na mfanyakazi wake ameamua kubandika tangazo la kumsaka Mtumishi wake
huyo kwa udi na uvumba kwa kubandika Tangazo hilo katika Lori la Mafuta
tofauti na wenzake wafanyao hivyo katika Magazeti na televisheni.
Pichani
ni Lori hilo la Mafuta T 718 BUK kama lilivyonaswa na Mdau wa Blog hii
ya Father Kidevu, Balozi Patrick Lusiano Tsere, maeneo ya Kibamba huku
mtafutaji akiahidi donge nono la Dola za Kimarekani 2000 kwa atakae
mnasa mwizi wake.Picha Kwa Hisani Ya Father Kidevu






No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)