Marehemu
Belinda J. Mwapinga enzi za uhai wake.
Marehemu Belinda J. Mwapinga alifariki
tarehe 20/07/2012 katika Hospitali ya Muhimbili na mazishi yake kufanyika tarehe
23/07/2012 katika makaburi ya Kinondoni.
Baba
Padre akitoa heshima yake ya mwisho kwa mwili wa Belinda. J. Mwapinga jana
katika Kanisa la Katoliki Extenal Dar es salaam
Joseph
Mwapinga mwenye suti nyeusi akiwa na watoto wake alio achiwa na mke wake kipenzi
Belinda.
Wafanyakazi
wa VODACOM Tanzania wakiwa wamebeba mwili wa Marehemu Belinda wakiufikisha
katika makaburi ya Kinondoni.
Mhandisi
Joseph Mwapinga akiweka shada la mauwa kwenye kaburi la Mke
wake.
Hawa ni baadhi ya
waombolezaji waliohudhuria kwenye safari ya mwisho ya Belinda.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)