Afisa Utawala wa Global Publishers, Sudi
Kivea (wa kwanza kushoto), akiwa na Meneja Masoko wa kampuni hiyo,
Benjamin Mwanambuu (katikati), wakimkabidhi kombe hilo ofisa mwandamizi
wa polisi wa Kinondoni, Wilbrod Mutafungwa, kituo cha Oyster Bay jijini
Dar leo.
KAMPUNI ya Global Publishers Ltd
inayochapicha magazeti ya Ijumaa Wikienda, Uwazi, Risasi, Amani, Ijumaa
na Championi leo imekabidhi kombe la ligi ya polisi jamii ikiwa mdhamini
wa ligi hiyo iliyoanza kutimua vumbi tangu Julai 9 mwaka huu.PICHA NA
ERICK EVARIST/GPL
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)