Taarifa zilizoufikia Mtandao huu Wa LUKAZA BLOG kutoka Kwa Mdau Aliyepo Kwenye Boti ya Sigal inayofanya Safari zake Dar - Zanzibar
Zinasema kuwa Boti ya Kampuni ya Sigal Imezama maeneo kabla hujaingia Zanzibar
na Boti Hiyo Imeondoka Dar Kuelekea Zanzibar Kwenye mida ya Saa Saba Mchana Na Boti ya Azam Imeelekea
Huko Kutoa Msaada wa Uokoaji na Boti Za Vikosi vya KMKM Viko njiani
kuelekea Huko Kwaajili ya Kuokoa Mpaka sahivi Bado haijajulikana Idadi
ya Waliopoteza Maisha..
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)