Mchezaji
wa timu ya Simba ya Tanzania akijaribu kuondoka na mpira kuelekea
golini mwa timu ya Azam FC katika mchezo naofanyika kwenye uwanja wa
taifa jioni hii ikiwa ni michuano ya Kombe la Kagame, mpaka sasa timu ya
Azam FC inaongoza magoli 3-1 dhidi ya timu ya Simba yaliyofungwa na
mshabuliaji John Boko wakati lile la Simba limefungwa na Shomari
Kapombe.
Mshambuliaji wa Azam,Kipre Tchetche akiwazungusha Mabeki wa Simba
katika mchezo wao unaondelea hivi sasa Uwanja wa Taifa Jijini Dar.Azam
inaongoza kwa Bao 3-1.
Mchezaji wa Timu ya Azam,Khamis Mcha (22) akipimana ubavu na
Shomari Kapombe wa Simba katika mchezo wa Mashindano ya Cecafa Kagame
unaoendelea hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Mpaka
sasa Azam ndio inayoongoza kwa Bao 3-1.Picha Kwa Hisani ya Full Shangwe/Michuzi Blog
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)