YAHAYA ALLY NDOMONDO ACHUKUA FOMU YA KUWANIA UKATIBU WA SIASA NA UWENEZI TEMEKE - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

YAHAYA ALLY NDOMONDO ACHUKUA FOMU YA KUWANIA UKATIBU WA SIASA NA UWENEZI TEMEKE

Katibu Msaidizi wa CCM  Wilaya ya Temeka Bi. Anastazia Mwonga kulia akimkabizi fomu ya kugombea Ukatibu wa Siasa na Uenezi wa Wilaya ya Temeke kwa Yahaya Ndomondo Dar es salaam jana kwa ajili ya kinyanganyiro cha uchaguzi  Mkuu wa chama hicho
 Katibu Msaidizi wa CCM Bi. Anastazia Mwonga kulia akimkabizi fomu ya ugombea Ukatibu wa Siasa na Uenezi wa Wilaya ya Temeke kwa Yahaya Ndomondo Dar es salaam jana kwa ajili ya kinyanganyiro cha uchaguzi wa chama hicho

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages